Jinsi ya kulinda wasifu wako wa kidijitali, data yako na data ya vyanzo vyako inapaswa kuwa sehemu muhimu ya mpango wako wa usalama.
Mashambulizi ya kidijitali yanaweza kuwa na matokeo halisi ya maisha. Kukamilisha kikamilifu kiolezo chetu cha tathmini ya hatari ya kidijitali , kutakusaidia kutambua, kutathmini na kupunguza matishio yoyote ya usalama ya kidijitali yanayoweza kutokea kwako au kwa watu unaowasiliana nao - kabla, wakati na baada ya kazi.